YaoYao Energies - Nishat na Uchumi
100% ELECTRIC. CLEAN SILENT SMART. SAFE RELIABLE DURABLE.
YAOYAO BAJAJ 100% ELECTRIC
-
Gharama Ndogo, Faida Kubwa
Okoa pesa nyingi kwa kutumia nishati safi na ya bei nafuu badala ya mafuta.
-
Badilisha Betri, Endelea na Safari
Hakuna haja ya kusubiri chaji. Wakati wengine wako huku, wewe swap, go, save.
-
Mustakabali ni wa Umeme
100% Electric. Linda mazingira yetu na usafiri ulio safi na usio na kelele.
-
Nishat. Kasi. Uchumi.
Pata maisha bora na uwekezaji thabiti wa kiuchumi unaokudhaminia usalama na kutegemewa.
